Tulia wewe kijana, haraka ya wapi?
Wanawake wengi hivi duniani wewe unahangaika kutafuta humu?
Kila mtu aliyeko JamiiForums anaonekana malaika hasa wakiandika hizi Fancy words,...Lakini in real life many are vicious wolves,....
Kwa mwendo huu jando na unyago virudishwe,.....Vijana mnahangaika.