love nouma guy's anusulika kuumbuka.

love nouma guy's anusulika kuumbuka.

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
152
Reaction score
25
watangwani jf.
Copy some whear
Nimeishi katika mahusiano na x wangu yapata miaka minne xaxa na tunakalibia kufunga ndoa. Huyu dada anamdogo wake ambae ukweli nimzuri xana nibint ambae ana rang ya chungwa mwembamba wakadri maeneo yakati kajazia. apa najalibu kukupa picha ya bint ambae namzungumzia xaxa bint huyu kawa nimtu wamitego kila leo ijapo anajua namahusiano na dada ake. Ilikua siku moja kabla ya ndoa alinipigia cm nakuniambia kuwa niende nyumbani nikaangalie kadi za halusi nilipofika nikamkuta ndani ya kanga moja na kuniambia kuwa ukweli ananitamani xana na angependa japo kushea love kwa cku moja namimi ili nitakapoingia ktk ndoa yangu nisijihisi kama natoka nje yandoa yangu akaniambia kama naitaji nimfate golofo ya pili chumbani kwake. Nifikilia fasta nakutoka nje kuelekea kwenye gali langu ghafla nikasikia napigiwa makofi kugeuka nikamuona bb mkwe mm mke na ndugu wengine wakaniambia hongera xana kwakufaulu mtihani huu mdogo wauaminifu. Ila unajua nn nilitoka nje ili kufuata kondom ndani ya gali.
 
Back
Top Bottom