Love life these days | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Love life these days

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Albina, Mar 27, 2012.

 1. Albina

  Albina Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nowadays a lot of couples are moving in together before marriage

  ..Its called come we stay ...
  Some people say that its the best way to know if
  you are compatible. That its like test driving a car.
  You will know if u can stay together as a married couple

  .....But others say most of these arrangements dont
  lead to marriage cause uar already getting what u can get in marriage without
  getting married .. So just curious.. Does "come we stay" lead to marriage?

  [​IMG]
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wako wachache sana waliowahi kufanikiwa kwa njia hii na wengi wao kushindwa. Ila pia wapo ambao waliijaribu njia hii na kufanikiwa mpaka leo hii wameona hawana sababu tena ya kufunga ndoa, that is to say, wamejiona kama wamefunga ndoa tayari maana wameishi kwa miaka mingi pamoja na kuzaa watoto kiasi kwamba ndoa kwa sasa haina faida tena kwao.

  Kwa hali ilivyo hivi sasa binafsi sirecommend hii njia. Kimsingi naona kama ina matatizo makubwa sana pale unapojaribu kujaribu kuishi na mtu na mkashindwa kuwa "compatible". Katika hali kama hii, ni rahisi kujikuta unaishi kinyumba na kila mwanaume na ikitokea kushindwana unapigwa chini. Ukishajaribu mchezo huu zaidi ya mara mbili, wanaume watakuona muhuni na suala la ndoa linaweza kuota mbawa kabisa.

  Ni vzr kujiheshimu kwa kuishi kwako, then mkifunga ndoa mtajuana huko huko. Mambo mengi watu hufundishana ndani ya ndoa. Kikubwa ni kuwa na upendo na kukubali kusikilizana na kutumia busara kwenye maamuzi yenu ya kifamilia.

  HP
   
 3. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mke si wa kuonja kama karanga

  Mke ni wa Thamani sana Machoni na Moyoni Mwako

  Habari ya kuonja ni kudhalilishana tu

  Mila na MUNGU pia Haruhusu hilo kabisa

  Oa kwa uhalali na si Baada ya kuonja
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  mme/Mke ni zaidi ya mambo haya ya hapa na pale ndio maana tunao na kuolewa. Mambo ya kisasa hayatabadili that fact.
   
 5. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Mi nafikiri kuishi pamoja kabla hamjatamkwa mke na mume kuna faida zake, ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya maisha ya ndani ya ndoa na haya yanayofanyika wakati wa urafiki/uchumba. Kukaa pamoja kutakuwezesha kufahamu tabia za mwenzio ambazo huenda usinge zijua kamwe kwa kukutana na kuondoka.

  Maisha ya sasa yamebadilika c kama zamani ambapo wanandoa walivumiliana na kuchukuliana mapungufu, hakuna aliyetaka ndoa ivunjike kila mmoja aliogopa kuambiwa ameachwa au amekimbiwa na mke, siku hizi ndoa inafungwa jana baada ya muda imevunjika kila mmoja anamtangaza mwenzie kwa mabaya.Sasa c bora mpate uzoefu kwanza halafu mhalalishe.
  .
   
Loading...