Love doesn't exist

With such mentality hata ukipata mtu anaekupenda kweli hutoweza kujua sio??

sababu siamini kuwa kuna upendo sijishughulishi kumtafuta mtu wa kunipenda kweli nimekuwa na mahusiano na wanawake wengi kwa muda tofauti only money is the melody they know.
 
sababu siamini kuwa kuna upendo sijishughulishi kumtafuta mtu wa kunipenda kweli nimekuwa na mahusiano na wanawake wengi kwa muda tofauti only money is the melody they know.

Unakosea,unarudia kosa hilo hilo in every new relationship na ndo maana money becomes the melody in your relationship.....take a break na ujue wapi unakosea...trust me true love does exist..najua hata wewe wapenda kupendwa ni basi tu bado hujapata
 
mwanzo nilikuwa naamini hivyo badae nikafikia conclusion hakuna love hope nawe unaelekea huko

ni kweli nimejaribu kucheki badoo na twoo naona kuna watu wengi wana interest hizo lakini kwa kujificha so hii itasaidia kwani kila mtu atajua anahitaji nini.

wanawake ndio target yangu kubwa kuna wadada wengi wanajiuza mtaani wengine ni wanafunzi wa vyuo wanaokesha kwenye mitandao uzuri wataweza endelea na shughuli zao huku wanasubiria simu kutoka kwa mteja badala ya kuvizia club



 
Unakosea,unarudia kosa hilo hilo in every new relationship na ndo maana money becomes the melody in your relationship.....take a break na ujue wapi unakosea...trust me true love does exist..najua hata wewe wapenda kupendwa ni basi tu bado hujapata
kama ndivyo basi ngoja niendelee kujaribu,
thanks.
 
Umechelewa kagoogle kitu inaitwa ----book tz upate moja mbili za jinsi ya kuset site yako....

ok thanks i wil do it naangalia domain name rahisi kwa users.
 


Mkuu huamini kuwa still tuko obedient mambo hayo hayajatufikia bado lol ziliwekwa picha za uchi za dada anaitwa nsia swai mwaka 2008 mpaka leo yule dada ni gumzo mtandaoni na ukitaka kuleta tafrani jitambulishe wewe ni gay......wanaamini ni jambo la wazungu theres no culture awareness when it come to sex i mean tuko reserved sana....may be we differ from our experiences but o have learnt true love exist for short time...that time you just met and theres sparkel when you spent time together you realize may be she/he snores lol love fades away yanabaki mazoea tu lols
 
My dear you are alright. Hakuna kitu kizuri kama True Love . The same here you will never make me happy if you don't have a true love for me, never . Thanks!

true love true love am in mid 20's now sijaipata hiyo true love kwa wanawake wenye ethnic tofauti only money first.
 

Discreet should be of paramount....shigongo naye yupo kazini ivo
 

Naona umeamua kutengeneza platform ya wazinzi.Unawezaje kupata true love wakati una kila dalili ya kuwa mwongo.
Usigeneralize mambo kutokana na experience zako kama hujawahi pata penzi la kweli pole sana kwa bahati hiyo mbaya kukukuta na jua wazi uamuzi wako ni mbaya.
 
Think ur confusing love and infatuation Jest love grows as the loved ones stays together but infatuation fades with time if u truly love someone u will never think of them negatively that's why I said earlie that with love u will be able to forgive your love ones and forget their harms that they have caused to you. Regarding the culture about women I said and I am goin to say it agan the women of this age they are more open minded and immoral they are not obedient as u claim. There have been issues of lesbianism, prostitution , stripshows all of this is done by the so u call obedients.
 
Last edited by a moderator:
mapenzi yapo ndugu wew uko wapi ambako hayapo eti???
 
mapenzi yapo ndugu wew uko wapi ambako hayapo eti???
madam nafikiri wanaume tunahitaji sex wanawake money only that ujue mapenzi ni sawa na marekani wanavyotumia kisingizio cha ugaidi kuvamia nchi nyingine ndivyo tunavyotumia mapenzi kukamilisha mahitaji yetu.
 

Anzisha utakua umesaidia midomo zege kupata vitu adimu kwa gharama zao.
 
Kwa mwanaume , kuna thin layer Kat ya PESA na PENZI, na haswaaaa Kama huelewi inakupa shida,
Ukimpenda Mtu utamtunza na utauona ni wajibu wako Kama ilivyo wajibu kununua Chakula chako ule ,
ILA Kama hujampenda utaona unalazimishwa, na ndio hapo unasema Mwanamke huyu Ananichuna,
Mara ngap unatoa hela kwa vitu unavyovipenda (bia, petrol, kodi, nyama choma ) na haulalamiki, iweje kutoa hela kwa Mwanamke una lalamika , tena kwa baadhi tu ya wanawake,...
Love ipo , it's a matter of understanding ..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
All you need is true love sasa unataka nani akugharamie na pesa haina nafasi

Binafsi naamini dawa ya mapenzi ni pesa cha ajabu unakuwa unademu unamfanya vizuri ajabu bado atakuambia umtoe ana shida na hela hapo sasa.
Bora umlipe apite zake kule .
Mlipe utakavyoona inafaa 50, laki na kuendelea
Kesho akikuuliza vipi ushanitema utamjibu "mama si biashara iliisha ? Si nilishakulipa?"
Mapenzi biashara bhana name wanawake wengi wanalijua hilo
 
hapo umeongelea nafsi yako na mm nimesema upande wangu so wats the matter??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…