Love doesn't exist

Hata upendo wa mwenyezi Mungu kwa wanadamu una masharti...je, upendo kati ya wanadamu utakuwaje??

Love is too hypothetical kwa uelewa wangu..!!
 

Nice one! I had in mind some similar... a data base od some sort with escort profiles where gentlemen can seek ladies and vice versa. Just for company!!! Watu wanachangia pesa ndefu harusi afu wana show up peke yao na card ya watu wawili!! Dude niPM tu form partnership.
 
sovito nita kupm soon with detailed plan thanks.
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi yapo bhanaa sema hujabahatika tu, na miaka hii kuyapata mapenzi ya kweli ni nadra sana.

hiyo nadra ndo inayoyafanya niamaini love does not exist.
 
Last edited by a moderator:
Mie kwangu nakubali true love does exist but only for short time siamini unaweza kukaa na lijitu forever msiboane......biashara unayoanziisha si kitu kigeni kwa wazungu ipo utawapata wanaume wanaotoka kny loveless mariages and they just want temporary fix/fun....ila kwa wanawake itakuwa ngumu kuwapata tuko soo obedient na cultures zetu labda wachache wenye free mind ambao wana exposure....
 
Umechelewa kagoogle kitu inaitwa ----book tz upate moja mbili za jinsi ya kuset site yako....
 

Nimekupenda bure...like like...
 

shalet mwanaume lazima uwe na pesa ili mpenzi wako aendelee kung'aa ndo maana mnaishilia kukodolea macho waliopendeza.' usione vya pendeza'??????
 

Its hustle on na watakao potea ni collateral damage!
 
Jest true love forgives and forgets! So if u believe there is true love only for a short time then I argue you to find more what is really love! And as for what u said eti women are soo obedient with their cultures I think you are referring our mothers and grand mothers na sio hawa mabinti wa kizazi cha galaxy s something ambao wanaishi maisha ya kwenye sinema!
 
shalet mwanaume lazima uwe na pesa ili mpenzi wako aendelee kung'aa ndo maana mnaishilia kukodolea macho waliopendeza.' usione vya pendeza'??????
luckyline salam kwako,
point yangu ni kuwa upendo haupo sina shida kumpatia hela mwanamke najua hilo ndo lengo la mwanamke yeyote kwenye mahusiano ninachotaka fanya ni kuwakutanisha wanawake wanaohitaji pesa na wanaume wanaohitaji kugegeda kwa urahisi zaidi nashukuru umenielewa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…