Love doesn't exist

Love doesn't exist

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,440
Reaction score
3,606
Ni ukweli ulio wazi wanawake wanahitaji pesa wanaume wanahitaji kugegeda, kwenye mapenzi dhana ya upendo ni ya kufikirika tu wanawake wanalalamika wanaume ni wasaliti hawana mapenzi ya kweli na wanaume nao wanaona wanawake warembo ni vigumu kuwapata bila kuhonga fikiria diamond bila hela angempataje wema. hivyo nafikiria kuanzisha dating site itakayosaidia wanaume ambao kwa shughuli zao wako busy ku interact na hawa viumbe lakini wanahitaji kugegeda na wanawake vilevile ambao wanahitaji pesa na wanaona aibu kukaa barabarani kusubiri wanaume na amini itawasaidia sana.

Note: hii itakuwa based only in dar es salaam in short run and arusha in near future.

nakaribisha mawazo yenu walokelo na watakatifu wengine am very sorry for disappointing you.
 
Mapenzi yapo bhanaa sema hujabahatika tu, na miaka hii kuyapata mapenzi ya kweli ni nadra sana.

Last edited by a moderator:
Kwa kifupi ni kwamba unataka kupanua wigo wa biashara wa madada wanaojiuza

Hii inaitwa e-prostitution (electronic prostitution)

Mungu akutie upofu wa maarifa ktk lengo lako,Amina

dunia ipo very dynamic hata nisipofanya mimi kuna mtu mwingine ataileta.
 
You take my money, I take your viginity
 
Kwa kweli kuchepuka ni kujiendekeza tu hakuna kingine eti dhana for what purpose??????? Hiv unaeza kua na mtu unampenda ukawa unamtizama hat kumgharamia ugharamii??? Ukipendacho lazima kivutike moyoni na machoni kikupendeze.....all i need is true love pesa haina nafas penye mapenz ya dhat kwangu
 
Ni ukweli ulio wazi wanawake wanahitaji pesa wanaume wanahitaji kugegeda, kwenye mapenzi dhana ya upendo ni ya kufikirika tu wanawake wanalalamika wanaume ni wasaliti hawana mapenzi ya kweli na wanaume nao wanaona wanawake warembo ni vigumu kuwapata bila kuhonga fikiria diamond bila hela angempataje wema. hivyo nafikiria kuanzisha dating site itakayosaidia wanaume ambao kwa shughuli zao wako busy ku interact na hawa viumbe lakini wanahitaji kugegeda na wanawake vilevile ambao wanahitaji pesa na wanaona aibu kukaa barabarani kusubiri wanaume na amini itawasaidia sana.

Note: hii itakuwa based only in dar es salaam in short run and arusha in near future.

nakaribisha mawazo yenu walokelo na watakatifu wengine am very sorry for disappointing you.

Mimi na-declare interest kuwa ni miongoni mwa hao kwenye rangi ya bluu,na I am very disappointed in you.Lakini nikwambie love is so real and does exist,huja-experience tu.But how can you experience love while you haven't shown love to someone else.Nakupa angalizo,umechagua fungu bovu my friend,maandiko matatifu yanasema"ole wake mtu yule awaongozaye watu maovuni",usipobadilika mkuu,huwezi kuikwepa gadhabu ya Mungu.Thanks!
 
Kwa kweli kuchepuka ni kujiendekeza tu hakuna kingine eti dhana for what purpose??????? Hiv unaeza kua na mtu unampenda ukawa unamtizama hat kumgharamia ugharamii??? Ukipendacho lazima kivutike moyoni na machoni kikupendeze.....all i need is true love pesa haina nafas penye mapenz ya dhat kwangu

My dear you are alright. Hakuna kitu kizuri kama True Love . The same here you will never make me happy if you don't have a true love for me, never . Thanks!
 
Kwa kweli kuchepuka ni kujiendekeza tu hakuna kingine eti dhana for what purpose??????? Hiv unaeza kua na mtu unampenda ukawa unamtizama hat kumgharamia ugharamii??? Ukipendacho lazima kivutike moyoni na machoni kikupendeze.....all i need is true love pesa haina nafas penye mapenz ya dhat kwangu

Kwa hiyo wewe hauwezi kujigharamia mpaka mwingine akugharamie na kupendeza si kwa ajili yako bali mtu mwingine really?
 
Nyie ndo wale wanaume hamnaga motisha hata kwa wapenz wenu
 
... kwenye mapenzi dhana ya upendo ni ya kufikirika tu

Nimeanza kusoma habari yako, lakini nilivyoifikia hii sentensi ikabidi nisiendelee zaidi maana tayari hapa kuna tatizo la uelewa wa dhana ya upendo...
 
Back
Top Bottom