kukukishingo
Senior Member
- Mar 25, 2023
- 110
- 153
Huyu kukukishingo leo kapotea njiaMwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, ktk utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa kipindi kirefu akiwepo shemeji yenu...nikiwa huko mbali moyo sukuma dam si mengine bhana, nikamuonaga mkaka so handsome, Kuna wakaka halafu Kuna wakaka wazuri then wasafi mashaalah....
Tukazoeana na kuahidiana kupeana mambo baada ya kua kila mtu kavutiwa na mwenzie,usiniulize kwanini nilikua tayari kumcheat jamaa, yule kaka mzuri bhana nikasema to hell mazee tunaishi mara moja acha niuze mechi....
Basi bhana, tukapeana location kipindi nakaribia kukamilisha majukumu yangu huko nilipokua, siku ya tukio ikafika bhana...kaka mzuri akanifata site tukaenda mahala husika, nilipata all the treatment a lady was supposed to get, ukafika mda wa kugusanisha vikojoleo daahhh, kaka mzuri hajui ata romance jamani, kaka mzuri alivamia tunda kama anataka kupigana akapiga tako tatu akavaa nguo ananiambia tuondoke niko na haraka....nilitamani kulia na kucheka at the same time...wadada wazuri ulishawahi kupitia haya...?
Ile sura unaweza ombea mkopo bank eti....wakaka wazuri shikamooniWale wa tall, dark and handsome sio??
Anyway tako tatu si haba wengine tako 1 tu anakoroma!!
Wanadai wazee wa kazi nzito wana sura ngumu eti[emoji3]
Nilale mie nisijekutwa na watoto hapa[emoji125]
Mi mgeni bhana...nina wiki jamviniThreads nyingi zakijinga na majina ya ajabu huambatana na new IDs Ila watu Ni wamda mrefu
Yaani tako moja tena? Sa inakuajeWale wa tall, dark and handsome sio??
Anyway tako tatu si haba wengine tako 1 tu anakoroma!!
Wanadai wazee wa kazi nzito wana sura ngumu eti[emoji3]
Nilale mie nisijekutwa na watoto hapa[emoji125]
Alafu mambo ya kujifanya wanawake kumbe ni wanaume mnaboa kishenzi,Yaani tako moja tena? Sa inakuaje
Women mercilessly punish simps.They have to pay exorbitant prices for products others got for free.Mwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, katika utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa kipindi kirefu akiwepo shemeji yenu.
Nikiwa huko mbali moyo sukuma damu si mengine bhana, nikamuonaga mkaka so handsome, Kuna wakaka halafu Kuna wakaka wazuri then wasafi mashaalah.
Tukazoeana na kuahidiana kupeana mambo baada ya kua kila mtu kavutiwa na mwenzie, usiniulize kwanini nilikua tayari kumcheat jamaa, yule kaka mzuri bhana nikasema to hell mazee tunaishi mara moja acha niuze mechi.
Basi bhana, tukapeana location kipindi nakaribia kukamilisha majukumu yangu huko nilipokua, siku ya tukio ikafika bhana, kaka mzuri akanifata site tukaenda mahala husika, nilipata all the treatment a lady was supposed to get, ukafika mda wa kugusanisha vikojoleo daahhh, kaka mzuri hajui ata romance jamani, kaka mzuri alivamia tunda kama anataka kupigana akapiga tako tatu akavaa nguo ananiambia tuondoke niko na haraka.
Nilitamani kulia na kucheka at the same time, wadada wazuri ulishawahi kupitia haya...?
@DeepPond Leo unanini? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nshatongozwa na mkaka mmoja mzuri tu.... nikaona huyu nimepata...sasa bhna siku ya mechi heeeeee......sisikii kitu...ananiuliza mbona huliii.....
Nikajifanya kulia lakini alifanya kamoja...akasema tuoge tuondoke....kimoja nacho kilikua cha shida mpka nikashangaaa huyu anashida gani...
Nikarudi kwa mjaa wangu wakunipelekea moto....nikafurahi mwenyewe...kitu mshedede upo wima...Deo popote ulipo nakumiss sana...
Kuumwa kukanifanya nipotezane na d
Deo wangu...saiv nipo single
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wa tall, dark and handsome sio??
Anyway tako tatu si haba wengine tako 1 tu anakoroma!!
Wanadai wazee wa kazi nzito wana sura ngumu eti[emoji3]
Nilale mie nisijekutwa na watoto hapa[emoji125]