Queen Rover
Member
- Apr 29, 2015
- 88
- 79
Hakuna haja ya kwenda love connect, hapa hapa pm zimeshaanza kuzidiwa na mafuriko ya SMS!Sa si mngeenda love connect moja kwa moja??
Hakuna haja ya kwenda love connect, hapa hapa pm zimeshaanza kuzidiwa na mafuriko ya SMS!
Wa humu kwani wana tatizo gani? Tulioko huku si ndo haohao tulioko mtaani? Kwani wewe hujapata mtu huku dear??Mh wana moyo hao wanaowaamini wahumu iwe KE iwe me mhmhmhmhmhmhmhm
Habari Wana Jamii Forum na MMU kwa ujumla...
Leo Nimeguswa kuongelea hichi kisehemu cha Love Connect Ndani ya Jf na watu wake kwa ujumla...
Tumekua tukiona watu wengi japo ni kwa ID fake wamekua wakijitokeza kwa ajili ya kutafuta Wachumba/Wapenzi na hata wengine kwenda mbali zaidi na kuwa na hitaji la Mme/Mke
Unakuta ni kwel mtu yupo serious na hitaji la moyo wake, hakuna formula ya sehemu utakayokutana na mwandani wako,sehemu yoyote unaweza kutana nae na akawa mwenzi mwema wa maisha, watu wamekua wakiwakatisha moyo wenzao juu ya kupata mpenzi mtandaoni,na wengine kuleta masihara kwenye nyuzi za wenzao ambao wapo serious, Leo hii tunawaona wana ndoa wangapi na hatujui walikutana wapi, chooni,bar,kanisani,barabarani,kwenye mikesha,club na pengine ,ata mitandaoni.
Mtu anapokua na imani yake usimkatishe kwa vile wewe unaamini hakuna mpnz anaetokea fb,jf,Instagram,sijui wapi wapi... Usiweke masihara kwenye haja ya moyo wa mtu, pengine ata watu wanaanza kudharau hii sehemu ya Love Connect.
Nawaombea wote wenye nia njema na nzuri mnaotafuta mtapata, mungu atawapa. Msiache na kuomba, watu ukutanishwa kokote.
Amina.
ndo anakutaftaWw na mwenzio mlikutana wap?
Mimi nakuhitajia kwa ajili ya mapenzi,tafadhali onesha ushirikiano.Habari wana JamiiForum na MMU kwa ujumla...
Leo nimeguswa kuongelea hichi kisehemu cha Love Connect ndani ya JF na watu wake kwa ujumla...
Tumekua tukiona watu wengi japo ni kwa ID fake wamekua wakijitokeza kwa ajili ya kutafuta wachumba/wapenzi na hata wengine kwenda mbali zaidi na kuwa na hitaji la Mme/Mke
Unakuta ni kwel mtu yupo serious na hitaji la moyo wake, hakuna formula ya sehemu utakayokutana na mwandani wako,sehemu yoyote unaweza kutana nae na akawa mwenzi mwema wa maisha, watu wamekua wakiwakatisha moyo wenzao juu ya kupata mpenzi mtandaoni,na wengine kuleta masihara kwenye nyuzi za wenzao ambao wapo serious, leo hii tunawaona wana ndoa wangapi na hatujui walikutana wapi, chooni,bar,kanisani,barabarani,kwenye mikesha,club na pengine,ata mitandaoni.
Mtu anapokua na imani yake usimkatishe kwa vile wewe unaamini hakuna mpnz anaetokea Fb,JF,Instagram,sijui wapi wapi... Usiweke masihara kwenye haja ya moyo wa mtu, pengine ata watu wanaanza kudharau hii sehemu ya Love Connect.
Nawaombea wote wenye nia njema na nzuri mnaotafuta mtapata, Mungu atawapa. Msiache na kuomba, watu ukutanishwa kokote.
Amina.