The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,946
hahaha.acha kabisa mkuuUnatafuta kibiriti nini mkuu, au tayari umeshapata, naona leo umepiga mapema sana kiongozi mpaka jua lizame utakuwa na mengi kichwani yaani nasubiri madini mengine
Kuwa makini arifu asije akakata tredihahaha.acha kabisa mkuu
kuna manzi mmoja humu ndani amenipeleka dunia nyingine kabisa jombaaa
hii ni nomaaaaa
hahahahah...aisee chalii angu hii kitu haijakaaa mapoa...ina kweree kinomaaa ajeeeKuwa makini arifu asije akakata tredi
yupi huyo arif? hahahahahAu ndio yule aliyekuja kushukuru Jana kama amepata bwana humu ndani?
Utakua umenasa kwa huyo binti
Na kweliDaaah. Hongera sana aiseee. Sababu hadi inafikia hatua unakamatika na kuongea mwenyewe kiasi hiki amakweli umekufa bado kuoza mkuu.
Ila umakini ndio kila kitu kwa sababu unaweza mmwagia sifa hivyo kumbe yupo mjanja mwingine anampa sifa zaidi ya hizo na hapo ndio unaweza jikuta mwisho wa siku kumbe ulikuwa msindikizaji tu.
Huna lolote kichwa kibovu weweHongera kwa kukamatika ila kichwa ngumu kama saranga hapa ni shida
Ninakuhitaj mtt mzuriHongera mkuu..
hahahah.asante sana mkuuHongera mkuu..
nimekusoma sana mchizi wangu...aisee kweli inawezekana kuna wanyamwezi humuhumu wanatembeza mkuyenge kwenda mbele.Daaah. Hongera sana aiseee. Sababu hadi inafikia hatua unakamatika na kuongea mwenyewe kiasi hiki amakweli umekufa bado kuoza mkuu.
Ila umakini ndio kila kitu kwa sababu unaweza mmwagia sifa hivyo kumbe yupo mjanja mwingine anampa sifa zaidi ya hizo na hapo ndio unaweza jikuta mwisho wa siku kumbe ulikuwa msindikizaji tu.
yeahhh ma meeeen.Sometimes hata wababe wanadakwa bro.Hisia za mnyamwezi toka moyoni