Love can be crazy sometimes

The Valiant

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,826
3,946
Hii ni balaa.Inatokea lakini sometimes
ujue kupenda mtu ni jambo linatokea ghafla sana
ujue haijalishi kuwa mmekutana wapi.popote pale yani.
ujue wakati mwingine hata hisia zinaweza kusafirishwa kwa mtandao
hii ni hatari sana
ujue hata wale wababe kama sisi tuliosema hatuwezi kupenda tunakamatika kirahisi sana
tena kirahisi mno
sijui ikoje hii
Aisee Mungu ni fundi kinoma.Manake sio kwa mambo hizi.
Yani kazi haziendi kabisa.Mtu unatamani upae muda huo huo ukamuone mchuchu
sasa mbaya zaidi pale ambapo mchuchu anaonekana kuwa bize.daaaah.Wallah unaweza kuwaza mengi sana.Ujue sometimes unaweza hata kudanja.
haya mambo si mchezo chalii angu.asikwambie mtu
Humu JF kuna visu nyie acheni tu.Yaani kuna watoto ukimwona unadhani hata huwa haendi toi
ni noma aisee.
Hadi kamanda nimedakwa.Hii ni danger.
Hongera kwako mama.You are the best of all
We dada aisee ni hatari.
 
Unatafuta kibiriti nini mkuu, au tayari umeshapata, naona leo umepiga mapema sana kiongozi mpaka jua lizame utakuwa na mengi kichwani yaani nasubiri madini mengine
hahaha.acha kabisa mkuu
kuna manzi mmoja humu ndani amenipeleka dunia nyingine kabisa jombaaa
hii ni nomaaaaa
 
Daaah. Hongera sana aiseee. Sababu hadi inafikia hatua unakamatika na kuongea mwenyewe kiasi hiki amakweli umekufa bado kuoza mkuu.

Ila umakini ndio kila kitu kwa sababu unaweza mmwagia sifa hivyo kumbe yupo mjanja mwingine anampa sifa zaidi ya hizo na hapo ndio unaweza jikuta mwisho wa siku kumbe ulikuwa msindikizaji tu.
 
Na kweli
 
Hivi mbona mimi na ukongwe wangu apa JF sijawai pata Kamrembo ka uku uku JF...
Ebu nipeni uehauri huwa mnawapata pata vipi...!!!?
 
Daaah. Hongera sana aiseee. Sababu hadi inafikia hatua unakamatika na kuongea mwenyewe kiasi hiki amakweli umekufa bado kuoza mkuu.

Ila umakini ndio kila kitu kwa sababu unaweza mmwagia sifa hivyo kumbe yupo mjanja mwingine anampa sifa zaidi ya hizo na hapo ndio unaweza jikuta mwisho wa siku kumbe ulikuwa msindikizaji tu.
nimekusoma sana mchizi wangu...aisee kweli inawezekana kuna wanyamwezi humuhumu wanatembeza mkuyenge kwenda mbele.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom