Lough a minute

deonova

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
742
Reaction score
420
Umewahi kuona familia kama hii..!

1: MAMA ana sura mbaya mpaka akijiangalia kwenye kioo kinaandika Please wait..

2: BABA ni mweusi mpaka akibeba mtoto, mtoto anasinzia akidhani giza limeingia

3: Dada ni wabaya hadi wameweka tangazo getini eti oa mmoja upate wawili bure...

4. Watoto ni wengi mpaka baba yao akiingia anasema 'hamjambo wananchi'

5. Kwao kuchafu mpaka inzi na mende wameamua kuvaa ndala.

6. Baba mnene mpaka akivaa t-shirt jekundu kwa mbali anaonekana km kibanda cha M-PESA.

7. Mabinti wembamba mpaka ukisimama nao kituoni konda anasema "hatupakizi miwa"
 
Nimeshayasikia. Ni matani ya wakenya! Imejaa kwenye vijiwe Nairobi na Kitui.
 
Hahah nmependa iyo ya bonge akivaa red aonekana ka m pesa hahahahahahahah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…