Lost pic, nabii Tito town kitambo

Hata humu jamii forum hizi picha zimo, miaka hiyo watu walimpost sema hau-trend kama miaka hii ambayo kila mtu ana simu janja. Binafsi mimi nimeona picha za nabii tito mtandaoni kabla kanumba hajafa.
 
Huyu jamaa ni shidda aisee na najikuta tu nina mashaka na akili yake kama iko sawa.

Niliwahi kumuona maeneo ya Moroco anaelekea darajani kupanda mwendo kasi aisee aliniacha na mawazo sana ile siku mana dume yule anatembea kwa mikogo wanawake tukasome na hapo ana bible mkononi huku amevaa ile kama kanzu na rozari shingoni , masikioni ana hereni tena zimeshuka zinakaribia kufika shingoni. Lol.
 
πŸ˜‚nimecheka sana, kwamba tito anakuzidi mwendo, ila alishasema kaanza kuliwa toka miaka hiyo ya 90 labda hata wakati huo wewe ulikua hujui hayo mambo
 
πŸ˜‚nimecheka sana, kwamba tito anakuzidi mwendo, ila alishasema kaanza kuliwa toka miaka hiyo ya 90 labda hata wakati huo wewe ulikua hujui hayo mambo
Unadhani Mkuu mie simuingii hata robo kwa namna anavyotembea mana akitembea anajimwaga mwaga acha tu.

Duuh!! Kweli kabisa Mkuu. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wameshikana mikono wakati wizara ya afya imekataza ilo... Hawa ndo wanaeneza corona
 
Kitambo alikuwa kinyozi saloon moja kinondoni
Alikuwa anapiga vyuma alikuwa poa tu
Gafla Akaja kubadilika na kuwa na tabia za uchk
Inasemekana kna mtu alimtengeneza[emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanumba aliondoka kabla ya WhatsApp

Fak death
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…