Loss Report

Kuntah Kinte

Senior Member
Oct 25, 2013
133
195
Samahani wakuu,hivi hili suala la Loss Report ni lazima utoe pesa ili upewe hiyo loss report au ni wajibu wa polisi kutoa hiyo loss report bila kipingamizi?
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,351
2,000
Samahani wakuu,hivi hili suala la Loss Report ni lazima utoe pesa ili upewe hiyo loss report au ni wajibu wa polisi kutoa hiyo loss report bila kipingamizi?

Hata unapolipia si unapewa risiti ndugu mbona unalalamika sasa??! Zile ni karatasi za serikali unatumia...ndiyo maana unachangia japo 500/-. Najua ni pesa ndogo mno ambayo serikali ilikuwa na uwezo wa kuiondosha ila ndo ivo mkuu...vumilia tu ndo Tanzania yetu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom