Lakers mchezo mtu amekaa Los Angelas Miezi 4 sababu ya kuwa Lakers sasa aonyeshe yanayotakiwa la sivyo tabia yake itamponza macho ya watu yalivyokuwa kwa Lebron sasa yapo kwa Dwight Howard ila sasa LA LAKERS tunatisha sio kitoto na bado Bench naombea nalo lifanye ya maana ila Big 5 ndio hiyo Kobe,NASH,MWP,Gasol,Dwight Howard wakutuzuia ni OKC tu zaidi ya hapo tunatishaaaaaaa. kazi ipo kwa Lakers Nash na Kobe watapostaafu itawachukua muda. Leteniii Ring hiyooooooo.