Ok samahani wadau. Mm ni agent tu nimepewa kazi ya kutafuta gari na kampuni ya madini ipo DRC. lori zinazohitajika mi zenye capacity ya 30 to 40 tonnes. Zitafanya kazi ndani ya mgodi distance ya 57km.
1. Malipo kwa lori ni $15,000 kwa mwezi kwa trip 3 za kutwa au $25,000 ikiwa transporter atapiga trip 2 za ziada usk.
2. Client atawajibika kufuel magari pamoja na upkeep ya dereva kama vile vyakula
3. Repair&maintanace ni juu ya transoorter
4. Malipo ni via bank or cash itategemeana na mkataba mtakaokubaliana