Sasa kabaki kuagiza kuchoma ofice za mawakili
Swissme
jamani nyie kwani yeye ndio kachoma si zimewaka zenyewe tuSasa kabaki kuagiza kuchoma ofice za mawakili
Swissme
Sasa kabaki kuagiza kuchoma ofice za mawakili
Swissme
Amri toka juu kweli katimiza sasa office zimeanza kuchomwa motoUcha uji nga, una uhakika gani?, Muacheni rais wetu afanye kazi watanzania tunamuelewa vema.
Sema unamuelewa vzur cyo tunamuelewa vzurUcha uji nga, una uhakika gani?, Muacheni rais wetu afanye kazi watanzania tunamuelewa vema.
Mama chukua MISO [emoji381] [emoji381] , naona tatizo limezidi kiwangoUnatamani iwe hivyo..
Unaisoma namba hadi na uongo mwingi umekujaa. Subiri wenzako mshangiliane juu ya hili.
Mama chukua MISO [emoji381] [emoji381] , naona tatizo limezidi kiwangoUnatamani iwe hivyo..
Unaisoma namba hadi na uongo mwingi umekujaa. Subiri wenzako mshangiliane juu ya hili.
Too bad dereva kasema hashauriwi wala hajaribiwiKwani dereva kaomba msaada?