Lori la mafuta lalipuka MOIL, Kigamboni

Lori la mafuta lalipuka MOIL, Kigamboni

King _Of_Everything

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
702
Reaction score
1,378
Za jioni ndugu zangu.

Ni kama dakika 10 tu zimepita toka gari la mafuta lilipuke eneo la Kisiaani hapa Kigamboni. Hali ya taharuki imetawala.
 
Niko kibada hapa, niambie ni Sehemu gani hapo nije na kidumu changu nichote mafuta chap!
 
Za jioni ndugu zangu.

Ni kama dakika 10 tu zimepita toka gari la mafuta lilipuke eneo la Kisiaani hapa kigamboni. Hali ya taharuki imetawala.
Umeshindwa japo kupiga picha uweke hapa we mpumbavu??
 
Bora limelipuka usiku,maana ingekuwa mchana na kibanganazi hiki cha mafuta bei juu kuna watu tungewazika leo
 
Back
Top Bottom