Looks like lin

hahahahahahahahahahahaha lin yupi huyo???
 
Kila kukicha picha za madada kwenye jamii f na inaonisha humu kuna washarati na wazinifu wengi na ndo maana mitoto ya mitaani inazidi kuzagaa na kutia huruma na sisi hunena ya hawa hawana baba na si kweli ni ufirauni tuu wa kuzalisha bila matunzo labda aseyekuwa na baba ni mmoja tu yupo kwenye vitabu tena vyote viwili jamaani tubadelike inasikitesha sana
 

Ukiwa na jembe ni kulima kwa bidii hata kwenye kichuguu wee lima tu ili mradi mazao yapatikane
 
mbona uso umekuwa kimburu hivyo...alikuwa ajigalagaza mavumbini???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…