mkuu yaani siko huko kabisa, hujawahi ona mwanamke katumia laki 3-5 hajapendeza na mwingine katumia laki na nusu na kapendeza mno ?sasa hapo sijajua connection ya hivyo na wewe kum pick...lol
unless labda u simple wake unakupa ishara ya kuwa easy na hivyo kumaliza kesi mapema lol
da watoto wakali ile mbaya.
hivi ni kweli wanawaona vizuri hao wasini walio jukwaani au wanaumiza shingo zao.
au ndo kila mtu na kazi yake mjini hapa ili mradi mkono uwende kinyani.
wameshatoka ktk shughuli za kujenga nchi na wanatakiwa waburudike,maisha bila hivyo hayaendiHivi hivi ndivyo taifa linavyo angamia kwa kukosa maarifa shame on you all