Looking for Ugandan girl

Waganda waliyo wengi hawafahamu kiswahili.

Kwa "yai" uliloandika hapo juu "wewe ni mkali sana".

Ngoja waje "mabebez"

Yai lipi mkuu , kama una rafik au Dada niunganshe , napenda sana gals wa kiganda .
 
Wadau nani nisipite bure,nahitaji marafiki wakiganda ambao tutakua tunabadilishana mawazo mbali mbali.
 
Please,in="Stable lady, post: 16645316, member: 372236"]Jendi nyabo[/QUOTE]
Please,in Swahili, don't you know this for all EAC?
 
I am from tz, I'm looking to date with a girl from Uganda , any girl who is interested, just send msg through private message
There are plenty of them. Just visit Kampala. You will not be disappointed.
 
Mkuu Uganda kama Taifa lolote duniani kuna mabinti wenye muonekano mzuri, na pia mbaya lkn wewe umegeneralize kuwa unawependa wadada wa kiganda unaweza kutana na kituko ukajuta.

Any way mi nakutakia kila laheri ila usisahau kuleta mrejesho ukishampata
 
Mkuu Bado sijapata naona ug wamekua wagumu, any help
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom