Ninatafuta pikipiki/Tri-cycle ambayo inakuwa imefungwa bowser ndogo kwa nyuma kwa ajili ya kuuza maji.Je nitazipata wapi?Bei yake ni shilingi ngapi za kitanzania? Kwa mwenye taarifa yoyote kuhusu chombo hiki naomba anijuze.
Asante TECHMAN kwa mawazo yako mazuri,mimi natafuta zile ambazo ziko ready made ikiwa na tank,nishaona kadhaa jijini dar,ni za bluu na zina tank jeupe nyuma.Hizo ndizo ninazotafuta.