Looking for microfinace partner

Soparino

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
22
Reaction score
2
Wakubwa Mimi ni mzoefu katika eneo hili kwa takribani miaka 10, nimefanya ndani ya benk moja kubwa hapa nchini maarufu Kama benk ya walalahoi kwa miaka 8, hivi karibuni nimebuni ka institution kamoja kwa jina la MFL ltd. Nakopesha vikundi vya wajasiriamali watanowatano kwa kiwango kisichozidi m1. Sasa kamtaji kamekata na wateja ni wengi sana. Karibu tuwekeze.
 
Binafsi ningependa uni inbox maelezo zaidi, unahitaji mtu akupe funds, unahitaji kuingia mkataba yaani tu nunue shares, or?
 
Binafsi ningependa uni inbox maelezo zaidi, unahitaji mtu akupe funds, unahitaji kuingia mkataba yaani tu nunue shares, or?

Kwa sasa nadhani nikisema nauza share soko la hisa hawatanikubali Kwani kampuni bado changa, wazo langu kumpata anayeweza kuwekeza kwa makubaliano ya kugawana faida , kwa kifupi sana ni hivi, tunakopesha kwa
10% kwa mwezi na marejesho ni ndani ya wiki 12. Hapa ina maana kama umeweka m1 baada ya muda wa wiki 12 utakua umeingiza laki 3, kwa u
 
mbona riba ndogo wengi wako kati 20-30%

Siyo ndogo mkuu mabenki yanatoa kwa 2% -5% kwa mwezi hao wa 20%-30% kwa luga ya mtaani tutawaita vishoka. We are very formal and looking forward to a recognized institution in financial industry.
 
natamani sana kama ninge practise mambo ya loan activities with any body so that to gain experience on how loan matters, na hasa katika likizo hii inayokuja ya mwisho wa semister, kiufupi nipo IFM, na persue banking and finance, mwaka wa pili!!!!
 

Mkuu uko wapi? NAPENDA sana hii kitu ila niko Arusha na huku mimi niko na shirika moja na tuna vikundi zaidi ya 3000,
 
 
Aisee mimi pia ni mdau sana kwenye haya mambo. Nilishafanya nao sana hawa MFI na nina uzoefu wa kutosha. Kwasasa hela sina, ila naweza kusaidia kutoa mafunzo kwenu na kwa hao mnaowakopesha ili kuboresha hicho mnachotaka kukianzisha. It is a very good idea.
Natamani tungekutana tulizungumze hili swala kwa undani. Mi niko hapa Moshi.
 
lets communicate and do biashara.0789604755
 
Pm me pliz. Mil. 50 itatosha? Nitumie business land yako tuone how we can help each other. Trust is priority in our future jointventure
 
Mkuu Soparino how is ur business going on? Tupe mrejesho mkuu,wengine ndo bado tunajikongoja kwenye hii industry ya microfinance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…