Mkuu si bora ungrandika kwa kiswahili ungeeleweka vema na ujumbe wako kufika kwa walengwa vizuri, kuliko huo mkorogo /mchanyato uliouandika .
Ila ungeweka even a simple analysis ya huo mradi wako na even in a nutshell ili tuweze kufanya SWOT analysis ndogo kabla ya kufikia hitimisho la kukutafuta after being assured if the particular project is viable or not.