Looking for Book Thread

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
17,636
47,405
Wabari zenu wana jf. Kuna book thread flan ilianzishwaga humu zamani tu,ikiwa na pdf nyingi sana.

Nimeformate laptop yangu nikapoteza vitabu vyote nilivyodownload humu. Nna muda sasa najaribu kuitafuta ile thread bila mafanikio,maana nimesahau title yake pamoja na jukwaa iliyopo.

Natumia nafasi kuwaomba wana JF au Mods mnitumie link ya hiyo thread ktk huu uzi wangu au mnitag ili niweze kwenda direct.

Shukrani.

#Analyse.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom