Looking for a real gentleman

!
!
ni mimi Renee, hili la threesixteen Himself ni la humu tu Jamii Forums lakini jina langu la ubatizo ni Real Gentleman. Yaani ni mtoto wa mzee Gentleman kabisa
 
Mungu akutangulie kwenye safari yako ndefu uwe mwangalifu na vishoka tu.
 

Hii ndo jamii forum
 
Mi mfupi sina bahati dah ayaaaaaaaaaaaaaaaaa we
 
mi nina 31 sina degree ila ni mjasiriamali niko vizuri.unasemaje?
 
Utasubiri sana... maana Mmmmmh Mpaka labda umtengeneze mwenyewe
 

Duh! kweli vigezo na masharti kuzingatiwa. wacha wengine tuendelee kuuza mitungi ya gesi tu na kupika ubwabwa..
 

mjumbe wako wa nyumba kumi ana taarifa kuwa you are still missing?
 
Kumekucha sasa,yaani apo nina sifa moja tu ya kielimu zngne sina.
 
mwee! sifa zote hizo? hata matangazo ya zabuni wangekuwa wanaweka masharti kama yako hakuna kampuni au mtu angeshinda,

we mwenyewe mstaarabu? sio joker? mbona unabagua hata rangi?

kuku tu hawabaguani sababu ya rangi wewe unaleta mambo ya makaburu.

ok, kila la heri
 
nina sifa zote hapo. Plus extra six packs...! Pm please!
 
wow!!! am ready but nmeshaoa du!!!!kama upo ready look m at jumaarashid8@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…