mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Natafuta mume awe God fearing, mrefu kuniliko na real
Age 30-35 yrs.
weka picha yako...mnapenda sana kutoa sifa mnazozitaka wakati wenyewe muonekano wenu ni vituko...
Mutant Gene trust me am gud! najiamini thus y sikukimbilia kupost picha alafu am after personality & charactor muonekano ni walk over cha msingi kimo okay?
Kimo cha wapi mupenzi? be specific..Mutant Gene trust me am gud! najiamini thus y sikukimbilia kupost picha alafu am after personality & charactor muonekano ni walk over cha msingi kimo okay?
me mwenyewe napenda kuwa karibu na walotengwa aisee!!
Natafuta mume awe God fearing, mrefu kuniliko na real
Age 30-35 yrs.
Jangaz.....nenda lavu konekiti
Natafuta mume awe God fearing, mrefu kuniliko na real
Age 30-35 yrs.
Kozo urefu wa kawaida umbo la kiafrica kiufupi mm wa kawaida am natural sijajibleach wala nn. napenda Mungu alivyoniumba
Ahahahaaaaaa mkuu umetisha kuwa mpole nitakutupia
Haina wasi mkuu niaje lakini