Looking for a job

Looking for a job

Vijana wanalaalmika hawaitwi kwenye interview na wenhine wanalaalmika wanafanya interview hawapati kazi lakini sisibtuliopo kwenye sector zenyewe tunakutana na mengi mpak ahuwa najiuliza hivi huyu mtu alimaliza chuo kweli au amefoji vyeti

Mmoja tulimwit akwenye interview ya CLinical Officer, CV yake ni nzuri kiukweli maana nafany ahospitali ya Rufaa, cha kushangaza kila swali tunalomuuliza anasema that i svery simple please ask another question

Panel yote mle ndani tulibaki tunaangaliana, kiukweli kuna wakati ilibidi nimwambie kwamba kama hawezi kujibu maswali interview is meaningless asitupotezee muda atupishe tuendelee na candidate mwingine

Mmoja sista duu alikuja kwa afasi ya adminstration nikamuuliza what do you consider to be your weakness, akajibu weakness yake ni kwamba anajua kingereza sana mpaka watu wanamwita mzungu.. she is a masters graduate from Tunaini..halafu english mbovu balaa
Unaona sasa. Mambo kama haya yatasaidia wengi.

Mimi pia niliwahi kufanya kazi kwenye NGO moja kubwa ya kimataifa na hawa walikuwa wanatoa mpaka scholarships za vijana kutoka Afrika kwenda Marekani kusomea Masters na Ph.D kwenye mambo ya sayansi hasa uhandisi, afya na IT. Kwenye selection committee ya kufanya final recommendations nilikuwa mweusi peke yangu. Nafasi nyingi zilikuwa zinachukuliwa na Wakenya, Wanaijeria na Afrika Kusini. Yaani nilikuwa mpaka naona aibu kusoma applications za vijana kutoka nyumbani. Kiingereza kibovu, makosa ya spelling, application letter yaani unasoma huwezi kuelewa mtu anataka nini ukija kwenye recommendation letters ndiyo usiseme. Unakuta recommender kaandika 'I don't know the applicant very well but s/he too one of my classes and s/he passed with a C. S/he is quiet and well behaved" kwisha kazi. Unasoma hizi za wengine unakuta recommendation letters ziko detailed mpaka unapata picha kamili ya waombaji. Halafu kwenye application kuna mahali wameambiwa kabisa waahidi kuwa wakimaliza masomo watarudi nyumbani na waeleze kwa kifupi jinsi watakavyoitumia elimu hiyo kuinua jamii yao. Wengine wanaruka kipengele hiki muhimu au mtu anasema "I will not stay in the US after I graduate and I will come home to stabilize my people" mtu keshamaliza.

Kuna mahali kuna tatizo katika mfumo wetu wa elimu na vijana wetu hawaelewi hata mambo ya msingi wanapoondoka vyuoni na kuingia huku mtaani hususan haya mambo ya ajira hata kama taasisi inayoajiri iko fair kabisa na haiangalii upendeleo wa aina yo yote.
 
Vijana wanalaalmika hawaitwi kwenye interview na wenhine wanalaalmika wanafanya interview hawapati kazi lakini sisibtuliopo kwenye sector zenyewe tunakutana na mengi mpak ahuwa najiuliza hivi huyu mtu alimaliza chuo kweli au amefoji vyeti

Mmoja tulimwit akwenye interview ya CLinical Officer, CV yake ni nzuri kiukweli maana nafany ahospitali ya Rufaa, cha kushangaza kila swali tunalomuuliza anasema that i svery simple please ask another question

Panel yote mle ndani tulibaki tunaangaliana, kiukweli kuna wakati ilibidi nimwambie kwamba kama hawezi kujibu maswali interview is meaningless asitupotezee muda atupishe tuendelee na candidate mwingine

Mmoja sista duu alikuja kwa afasi ya adminstration nikamuuliza what do you consider to be your weakness, akajibu weakness yake ni kwamba anajua kingereza sana mpaka watu wanamwita mzungu.. she is a masters graduate from Tunaini..halafu english mbovu balaa
Duuuu!! Watu wanavituko
 
[emoji69].....Haya sasa vijana, tayari Monica Missana amewawekea na mawasiliano yake hapo.
Naomba msiniangushe tafadhali...
Tatizo msomi sana baadae wanasumbuaga hawa na mpaka umri huo kachagua sana au wanaume wanamwogopa
 
Nikushauri tu ujitahidi kutembelea websites za matngazo ya ajira rather than this cheap advertisment here, it will never help you sanasana you will end up disappointed and frustrated

Watatumia namba yako na email yako kwa malengo mengine na usipokua makini utajikuta unapotez mwelekeo kabisaa

Tangazo lako nasema ni cheap kwa sababu halina even 1% of who you are proffesionally...hapa naamanisha your education background haijajitosheleza, proffesional experience, what kind of job are you looking for, employer hawezi ku assume the position you are aiming at and why do you think you are qualifying for that particular position na mengine kama hayo

Unless uwe unatafuta non proffesional job au watu wa mjini wanasema kazi yoyote ilimradi kipato, kwa maana hiyo tegemea wati kukuitia hata kazi ya kutembeza vuombo, You must be spesific

Nazungumza na wewe kama HR.
Kama una swali karibu
Nmekupenda bure,,, ushaur mzurii kbsa
 
Jikite kwenye NGOs kwa sababu hao huwa hawakosi vimiradi ila ujue kuwa kupata kazi hapa Bongo ni lazima uwe na connection; na kwako wewe jiandae kuombwa rushwa ya ngono.

Kama una principles zako umejiwekea kuhusu haya mambo na maisha yako kwa ujumla huu ndiyo wakati wa kuzirejelea. Ni changamoto sana ila pambana na Mungu hatakuacha. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Na ikiwezekana, ondoa hiyo namba ya simu hapot ubakize email yako tu inatosha; angalau kwa sasa.
Ushauri mzuri sana kwa dada yetu, natumaini atauzingatia na namtakia kila la heri kwenye mapambano. Rushwa ya ngono ni shida sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom