Mkuu kwa niaba ya mtoa mada nikupongeze kwa maelezo mujarabu na ushauri uliompa, humu jamvini wapo watu waungwana lkn pia kumejaa viumbe wa ajabu sana! unaweza jiuliza kosa la mleta mada hapo ni lipi hasa kwa wale wanaokosoa na kuponda...unagundua tu kwamba lot of members are desperate and going through hell..mleta mada atapata mtu sahihi kbs kupitia post hii hii.