Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa

Dah!! UmeniwahiFunga hii sredi niko hapa
Hizo red hizooooo
Hizo red hizooooo
Hizo red hizooooo
Anajichanganya mwenyewe!!
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
GOD created TF and Lizzy
Truly said:Red ina shida gani kwani
Anajichanganya mwenyewe!!
Kivipi
Huyu hajakizi vigezo vyangu
Dena kwani red sina shida gani shosti? mwenyewe yuko serious anatafuta
Mwambie nimem-mind~elimu yangu form seven, na kazi yangu mimi ni mvuvi. Kama vipi tujichanganye!.:wink2:Hello wana JF,