Antoinette
Member
- Dec 26, 2016
- 55
- 73
Kabila lako please?Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain
Mwanaume awe
From masters degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe mfanyakazi/mwajiriwa/mfanyabiashara
Christian
Age from 30-45
Whether ana mtoto au la ila asiwe na uhusiano na baby moma wake
Kama tutaamua kuwa wapenzi aniruhusu niendelee na Phd baada ya mudaa fulani as i have planned, kama ni Sponsor i promise sitakucheat[emoji7] .
Nb: Kama huna hivyo vigezo plz usije pm, nenda kwa wenye vigezo kama unavyotaka wewe. Kupanga ni kuchagua!!!
Nawasilisha[emoji4]
PoleMm navigezo vyote ila age 23
Kwani huyo sponsor tunaishi nae dunia nyingine au hii hii?Yaani hata rafiki na sponsor anawekewa masharti makali hivyo! LOL..
We sio Mamba, we ni Kiboko aisee....!
Kama ni kugongwa tu mtaani wapo wengiWEWE HUTAKI MWANAUME UNATAKA WAKUKUGONGA NA KUKUACHA NGOJA TUONE KWA HIVYO VIGEZO
Please relax kama huna vigezo, mambo ya hela umeyasema ww hayapo kwenye post yangu.AKILI ZA WANAWAKE SIFURI KABISAA WANADHANI MWANAUME AKIWA NA ELIMU BASI ANA HELA TEH TEH TEH TEH ACHA TUWAGONGE MPAKA WAKOME NA HATUWAOI KAMWE
Imma get you someday . What I have can't be refused.. [emoji6][emoji6][emoji8]Pole
OK UTAWAPATA PM ILA UNGEKUJA NA ID YAKO YA SIKUZOTEKama ni kugongwa tu mtaani wapo wengi
Hahaha we will see [emoji102]Imma get you someday . What I have can't be refused.. [emoji6][emoji6][emoji8]
Nimeshakusoma, mi nilidhani uliposema Sponsor ulimaanisha Sponsor kweli...! kumbe unamzungumzia Sponsor huyo!Kwani huyo sponsor tunaishi nae dunia nyingine au hii hii?
Kazi ya hii ID ndio hii.OK UTAWAPATA PM ILA UNGEKUJA NA ID YAKO YA SIKUZOTE
As for whoever interested will demand it privately.Tangazo lingeambatana na picha ingekuwa supa sana.
As for whoever interested will demand it privately.
Umenena, hii ID ni maalum kwa kazi hii...ubarikiwe ktk mipango yakoKazi ya hii ID ndio hii.
Hiyo formula ya lazima kupata mtu chuoni au kazini ni ya mwaka gani?Kama hujapata mtu chuoni...kazini....mtaani
Basi ww kimeo
Kazi ya hii ID ndio hii.