Looking for a female company

Ngoja na mimi niandae route ya kwenda kupanda milima ya usambara na haka ka-corolla kangu huenda na mimi mambo yakaenda vizuri.

Ukiondoa lile sherti letu kuu hapa ni la lazima huyo mdada atakaefuzu kwenye hiyo safari awe na uwezo wa kula ugali wa muhogo(bada) na mlenda (hombo) tutakapofika kwa wasambaa na akishindwa basi atajitegemea nauli wakati wa kurudi.
 
Tate shebughe ikala mwe kitiii...tiolele wana wakishighisha maegha....!
 
Kwa moyo mkuu Tate Mkuu ndio ID bora kuliko Tate Shebughe .. Maana Tate Mkuu ina U majestic hivi na iko more wide range kuliko shebunge inayowakilisha upande mmoja
Mgosi umenikatisha tamaa. Shida iko sehemu moja tu; mimi ninatokea ukoo wa akina Shebughe. Na ndiyo sababu ya mimi kulitumia hilo jina. Hivyo naomba mwongozo wako ili niendelee na hili jina langu la zamani.
 
Sasa hapo umenifumbua.. Basi Tate Shebughe imepita kwa majority votes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…