Mkuu mwanamke akishapata ujauzito tu...hizo measurements zako zote zita change...therefore they are meaningless
Ushauri....simama mbele ya kioo...jiangalie hivyo ulivyo....halafu jaribu ku lmagine wewe ni mwanamke jiulize unavutiwa na nini kwa huyo mwanaume umuonaye kwenye kioo... ....anzia hapo....UNAHITAJI COUCELLING wewe....nikipata muda nitakuandikia zaidi....