Longaa kuhusu picture hizi

Longaa kuhusu picture hizi

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
547
Very-Funny-Images-in-the-world-8-300x300.jpg

​
 
1. Picha ya kwanza, jamaa akichoka kumbeba samaki..samaki atambeba yeye
2. Picha ya Pili nadhani jamaa ananyamba sana, sasa maeneo yanaadhibiwa,
3. Picha ya tatu mtoto alikuwa anataka kujisaidia kiwanjani akarushwa na Umeme
4. Picha ya nne ni mazingaumbwe.....hayo madumu hayajafungwa popote wala kushikishwa na kitu chochote
 
Hiyo ya tatu alikua anachepuka dogo!!!

1. Picha ya kwanza, jamaa akichoka kumbeba samaki..samaki atambeba yeye
2. Picha ya pili nadhani jamaa ananyamba sana, sasa maeneo yanaadhibiwa,
3. Picha ya tatu mtoto alikuwa anataka kujisaidia kiwanjani akarushwa na umeme
4. Picha ya nne ni mazingaumbwe.....hayo madumu hayajafungwa popote wala kushikishwa na kitu chochote
 
Hiyo njia ingekuwa inatumiwa na polisi kushikia waalifu .....sijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom