Mostwanted boy
Senior Member
- Aug 24, 2013
- 115
- 10
- Thread starter
- #21
Promotion hii or
Mwanaume wa kweli hajisifii..
watu walonishauri walinambia nikifanikiwa nije kutoa feedback. Very sorry kwa wanaoona najisifia
Promotion hii or
Mwanaume wa kweli hajisifii..
nipo tayari kufikishwa mahakamani kama natoa taarifa za uongo! Kama kuna mtu anabisha aje tuprove coz vitendo ndo vina maana kuliko maneno
halafu tukisha prove then what!!!!!!!!!!!!!
nipo tayari kufikishwa mahakamani kama natoa taarifa za uongo! Kama kuna mtu anabisha aje tuprove coz vitendo ndo vina maana kuliko maneno
watu walonishauri walinambia nikifanikiwa nije kutoa feedback. Very sorry kwa wanaoona najisifia
then uamini
Duh, sasa unataka uthibitishe kwani kuna ambao hawajaamini?