gijos JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,187 Reaction score 1,847 May 17, 2020 #1 Wakuu naomba kuuliza chuo cha VETA Chang'ombe kilicho Dar es Salaam kuwa usajili unaanza lini kwenye long course ya umeme na wanachukua vigezo gani vya ufaulu kwenye course hiyo
Wakuu naomba kuuliza chuo cha VETA Chang'ombe kilicho Dar es Salaam kuwa usajili unaanza lini kwenye long course ya umeme na wanachukua vigezo gani vya ufaulu kwenye course hiyo
Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,318 May 28, 2020 #2 Tembelea https://www.veta.go.tz kwa maelezo zaidi.