Lonely lonely ..........

Lonely lonely ..........

meccy

Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Jamani mwenzenu upweke umenichosha, natafuta mwenza wa kuishi nae.
Ni mama wa watoto wawili, umri wangu miaka 36, elimu yangu ni shahada ya uzamili, muislamu na ni muajiriwa wa serikali.

Nahitaji mume umri kuanzia miaka 37 awe muislam. Aliye serious naomba pm
 
Watoto wawili baba yao yukwapi
Sorry nina maana yangu
 
Jamani mwenzenu upweke umenichosha, natafuta mwenza wa kuishi nae.
Ni mama wa watoto wawili, umri wangu miaka 36, elimu yangu ni shahada ya uzamili, muislamu na ni muajiriwa wa serikali.

Nahitaji mume umri kuanzia miaka 37 awe muislam. Aliye serious naomba pm

huuuuuh,,,, kila la kher
 
Baba yao yupo hai

Wanouliza kuhusu baba watoto wanataka kujua mmeachana ama katangulia mbele ya haki, mim nimeelewa hivyo, halafu vigezo vya dini mnakubaliana baada maridhiano kuvitoa mwanzo unakimbiza watu kwani dini inabalika tu, sema hivi MIMI MUISLAM/KRISTO. Ni ushauri tu dada.
 
Asante kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom