Loliondo ALBUM

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,360
Reaction score
2,389
Kila mtu hataki kupitwa na kikombe
 

Attachments

  • P1000035.JPG
    78.6 KB · Views: 123
  • P1000042.JPG
    52.5 KB · Views: 122
  • P1000040.JPG
    65.2 KB · Views: 129
  • P1000048.JPG
    102.5 KB · Views: 145
  • P1000044.JPG
    94.4 KB · Views: 129
  • P1000041.JPG
    51 KB · Views: 127
  • P1000039.JPG
    94.6 KB · Views: 174
  • P1000029.JPG
    104.1 KB · Views: 178
  • P1000046.JPG
    98.1 KB · Views: 170
  • P1000050.JPG
    140.1 KB · Views: 139
  • P1000033.JPG
    120.2 KB · Views: 160
  • P1000026.JPG
    114.6 KB · Views: 152
  • P1000047.JPG
    101.3 KB · Views: 134
  • P1000038.JPG
    102.2 KB · Views: 245
  • P1000034.JPG
    122.7 KB · Views: 139
  • P1000049.JPG
    85 KB · Views: 124
  • P1000037.JPG
    120.3 KB · Views: 134
  • P1000043.JPG
    60.4 KB · Views: 122
  • P1000031.JPG
    85.8 KB · Views: 108
  • P1000028.JPG
    79.8 KB · Views: 107
  • P1000032.JPG
    112.9 KB · Views: 124
  • P1000036.JPG
    106.2 KB · Views: 97
  • P1000045.JPG
    101.5 KB · Views: 105
  • P1000030.JPG
    87 KB · Views: 109
  • P1000027.JPG
    77 KB · Views: 125
Kila mtu hataki kupitwa na kikombe


Ni kweli watu kibao!! Ila wasiwasi wangu ni kwamba huo mmea au mti uko mwingi kiasi gani hapo kijijini? maana pamoja na kwamba serikali bado ina sua sua kukubali au kukataa matibabu yanayotolewa na Mchungaji, ni heri wanamazingira na wahifadhi wakafanya haraka kuangalia uwezekano wa kuuotesha au kuuhifadhi mmea huo ili uweze ku- sustain hoyo traffic ya wahitaji. la sivyo baada ya muda utatoweka kabisaa maana nasikia ni mizizi ya huo mmea ndiyo inayo tumika.
 

Kaka upo Vizuri mnoo umewaza kitu ambacho hata watu wa mazingira hawaja ki address kabisaaa wamelala usingizi tuu mnonoo au na wao wapo kwanza LOLIONDO halafu wakipona ndo waanze kusema kuwa mazingira yanaharibiwa hahah
 
Nashukuru kunifikisha kwa babu kwa hizo picha.
 
Wasiwasi wangu ni pale babu atakapotangaza dawa ya utajiri, sijui masharti yake yatakuwaje!!!!!
 
Mkuu asante sana pichazz na kutujuza zaidi nini kinaendelea
 
Wasiwasi wangu ni pale babu atakapotangaza dawa ya utajiri, sijui masharti yake yatakuwaje!!!!!


....UTAJIRI na UHAI (UZIMA) kwa maoni yangu kikubwa zaidi ni UZIMA. Kama hivyo ndivyo Babu akitangaza dawa ya utajiri masharti yake yatakuwa madogo na gharama itakuwa chini ya TZS 500/- (Mia Tano tu)!.

In a serious note, kazi aifanyayo huyu babu si ya kitapeli kama unavyotaka ku-imply. Ameoteshwa na MUNGU ili awasaidie watu. Ingekuwa ni shughuli ya kitapeli au biashara ange-charge bei kubwa na pia angehamia mjini ili apate wateja wengi na matajiri zaidi....
 
ahsante kwa picha hziz,angalau UMEWAKILISHA

nashukuru mkuu...we must make difference between mtu aliyepo hapa na aliye mbali..mimi niliona bora nisshuhudie coz sina cha kupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…