Jahman85 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 217 Reaction score 113 Nov 3, 2019 #1 Wakuu kwa wale wapenzi wa aina hii ya muziki msaada tafadhali mwenye access ya hii nyimbo, ni naikubali sana kila mahali ninapojaribu kuitafuta ni kama vile wameifuta au kuiblock.. Msaada tafadhali kwa wataalam wa mambo ya kudownload nyimbo..
Wakuu kwa wale wapenzi wa aina hii ya muziki msaada tafadhali mwenye access ya hii nyimbo, ni naikubali sana kila mahali ninapojaribu kuitafuta ni kama vile wameifuta au kuiblock.. Msaada tafadhali kwa wataalam wa mambo ya kudownload nyimbo..