Warren.T JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 900 Reaction score 318 Jul 10, 2015 #1 Baada ya kupima, issue ya kusubiria matokeo ni ngumu kweli kweli!! Attachments 1436514475023.jpg 35.4 KB · Views: 428
SOGHOO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 1,268 Reaction score 568 Jul 10, 2015 #2 Mwenye fununu atuambie ni nani atamvaa Dr. Slaa. Mwalimu alisema, wasikilizeni wananchi huko nje wanamtaka nani......sio mchague mtu ili wapigwe tu sorry ili apigiwe kura tu.
Mwenye fununu atuambie ni nani atamvaa Dr. Slaa. Mwalimu alisema, wasikilizeni wananchi huko nje wanamtaka nani......sio mchague mtu ili wapigwe tu sorry ili apigiwe kura tu.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 Jul 10, 2015 #3 Jambazi bado kupigwa chini?,ukawa wamemteua Slaa?..
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Jul 10, 2015 #4 Wassiraaaaaaa hahahahaaaa
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,658 Jul 10, 2015 #5 Huh....mzee wa kimya kimya na suti yake ametuliaaa AMESHAKATWA
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,792 Jul 10, 2015 #6 [SUB]wamemkata. . . ! ![/SUB]