Loh Sirudii tena; Cheap is Expensive!


Mimi na mama watoto tumeamua kununua vitu fresh toka sokoni siku hizi na sio kwenye supermarket tena; hasa juisi tunatengeneza wenyewe badala ya hizo za makopo!! Tunza afya yako; kinga ni bora kuliko tiba!!
 
Supermarket maarufu kuliko zote hapo soko kuu ni RUSHDA ambayo inasifika kwa kuuza vitu kwa bei rahisi.
 
Bila kuitaja utakuwa hujatusaidia watanzania wenzako kuepukana na madhara uliyoyapata au unataka nasi tupate madhara pia?
 
Usikute mnaushindani wa kibiashara unamchafua tuu mpinzani wako.kama unawasiwasii atumie watu wa tbs eaje kuchukua sampuli kwa uchunguzi then wao ndio wata declear huo ubora au laa.
Wewe ni f.la sana, unaleta ushabiki kwenye afya za watu. TBS wanahusikaje hapo! Unajua tofauti kati ya TBS, Afisa afya, mkemia na TFDA?
 
Hii itakua ipo jirani na otu hapo kama sikosei mbona wanichanganya tena leo niliwasubiri kweli mda wa mchana wakiwa wanaswali daaaaaaahhhhhhhh
 
Wewe muanzisha uzi Chemwali ni muoga au sio muoga? Hebu jibu mwenyewe. Kama sio muoga hapo nyuma ya keyboard kuna mtu anakuona mpaka unashindwa kuiweka wazi hiyo supermarket unaleta viashiria tu hapa, au hao wahindi wanajua kuwa wewe ndiye Chemwali wa JF?
 
Last edited by a moderator:
supa markiti za nini bongo hii, mososi asilia kibao kamanda ndo maana wanaume wa siku hizi kudisa mpaka msaada wa mti wa nyanya ndo kitu kisimame dede. Mimi hakuna sehemu nisiyoipenda km shoprite mle full maigizo, kila ukipita watu wanachunguliana kwenye vikapu vyao umenunua vingapi. Mimi game nakuwa comfortable kuna bidhaa za kiume. Achaneni na ma vyakula ya kusindikwa cancer nje nje ohooo endekezeni tu ntakuja watembelea ocean road mkibanikwa na miale.
 
Heri yangu mimi na ushamba wangu,miaka 28 sasa siijui supermarket wala ndugu yake,tuacheni uvivu wa kujitengenezea vitu vyetu wenyewe!!
 
Mkuu... unakuta mtu anaishi Tanzania ambayo vitu vingi vinapatika fresh from the farm lakini wanajitia eti uzungu wa kuingia super market ili waonekane

Mkuu hata mimi huwa nashangaa sana, Mimi huwa naend akaununua mikate yangu ya brown shoprite, lakini cha ajabu utakuta mtu amkekomaa na Majuice na mbele ya Duka la Shoprite Arusha kuna Soko laas Kilombero wanauza Matunda freshi kabisa, Watanzania tunapenda sana Kuiga hata visivyo staili kuigwa,

Ulaya Matunda Freshi na Mboga za Majani frshi ni vya watu wenye pesa sana yaani Matajiri kama huna uwezo ulaya huwezi kula vitu freshi, Ila Bongo ni tofauti kabisa, Huku Vitu freshi ni vya watu masikini, Ila kama unapesa ni kula MAJUICE YA AJABU AJABU
 

Mkuu kuna kitu inaitwa Kutafuta Sifa mtaani, Kwa kweli Mimi Shoprite huwa naingia kununua Maji ya Kilimanjaro au Mikate ya Brown full stop labda na sabuni za Unga, Ila ishu ya Juice sijui nyama, ni ujinga, kwa sababau mbele ya Shoprite kuna vitu freshi kabisa kutoka shambani
 
Woga ni ugonjwa mbaya sana, ndio maana wahindi wataendelea kua hapo wakiwalisha taka.


Lema anakuambia ndo Zambi mbaya kuliko zote Duniani, mimi nazani atakuwa ni huyo sijui Rushida make yule jamaa unaweza sema bidhaa anazitengeneza mwenyewe
 
Mkuu... unakuta mtu anaishi Tanzania ambayo vitu vingi vinapatika fresh from the farm lakini wanajitia eti uzungu wa kuingia super market ili waonekane
Wanapenda kujitutumua mno mbaya zaidi uwakute walioenda shule
 
Heri yangu mimi na ushamba
wangu,miaka 28 sasa siijui supermarket wala ndugu yake,tuacheni uvivu wa
kujitengenezea vitu vyetu wenyewe!!

Hawaoni ulaya wanalishwa nyama ya farasi?
 
hawezi kujali kwani ana amini dawa mliyo iruka pale mlangoni haiwezi kuwa acha muondoke bila ku nunua hata kama bizaa ni mbovu kabisa ukisha ingia pale lazima ununue tu kutimiza matakwa ya agano lililo wekwa mlangoni usilolijua. bombay nomaa.
 
namalizia tena na tena kwa Rushda sikuwa naogopa nilichotaka ni mkaprove wenyewe na muwe waangalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…