adobe after effect mkuu.
pia hata Photoshop na illustrator zinafanya ila inategemea na app unayo imudu.
Unafanyaje mpaka inatokea hivyo..?kazi nzuri mkuu hapo bado hizo fonts tu naona zako na za castle ni tofauti
Chief asante kwa kuongezea nyama ktk hili bro.kama huna psd/source/vector file la mtengenezaji kuclone ni ngumu kuliko hata kutengeneza file lako mwenyewe
naomba unipe hizo app mkuu nizichek napenda sana hayo mamboYah...app zipo nyingi mkuu.tofauti inaweza kuwa ni tools na jinsi mtumiaji anavo mudu kutumia tools hizo.
Mimi nipo "madongo kuinama" huku mkoani n'twara.wewe mwenzangu Upo wapi?.nimesema/nimeuliza hivo ili nifahamu kama jiographia za maeneo yetu zinaweza zikarahusisha kukutana ili nikupe app/software za graphics design.naomba unipe hizo app mkuu nizichek napenda sana hayo mambo
mkuu asante kwa comment yako na asante kwa pongezi.
Mkuu kadoda, nipo far na PC but nashindwa kuelewa shape ya umbo hilo jekundu na jeupe imekaa vipi.
Naona umbo jekundu lina Drop shadow chini na pale juu pia pana shadow.
Ki uhalisia logo yako ni kwamba kuna mwanga unapiga, hivyo basi, nilitegemea shadow iliyoko kwenye shape nyekundu, basi iwe sawa na ile shadow uliyowekwa kwenye neno lako KADODA, maana kwenye Kadoda pana drop shadow iliyobend upande wa chini tu.
Hivyo basi nimeshindwa kuelewa central light ilipiga vipi, kama maneno kivyake na ile shape nyekundu kivyake au vipi.
Pia drop shadow ya ile shape ya juu kabisa, nafikiria ingefaa pia ikiwa squeezed internally icheki freshi ya Castle ile pia naweza eleweka.
N:B Kazi nzuri na hongera pia.
unatumia afobe trial au ya kuliia mie trial iliisha muda kila nikijaribu kuwek tena haikubali.View attachment 435803
kadoda11
Just wanted to see how my name will sound on the can.
I used Adobe Photoshop CC 2015 to achieve the goal set.
Tumia hii tool nimeattach ili uweze kutumia full version.unatumia afobe trial au ya kuliia mie trial iliisha muda kila nikijaribu kuwek tena haikubali.
job well-done...looks awesome.View attachment 435803
kadoda11
Just wanted to see how my name will sound on the can.
I used Adobe Photoshop CC 2015 to achieve the goal set.