encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
Navyofaham Procurement & logistics wana base sana kwenye procurement, hawana tofauti sana na wanaosoma procurement & supply. supply chain na logistics zinashahabianaYa pili ina wigo mpana, inaeza beba ya kwanza ila ya kwanza haiezi beba ya pili....
Navyofaham Procurement & logistics wana base sana kwenye procurement, hawana tofauti sana na wanaosoma procurement & supply. supply chain na logistics zinashahabiana
its wrong mkuuuYa pili ina wigo mpana, inaeza beba ya kwanza ila ya kwanza haiezi beba ya pili....
Fafanuaits wrong mkuuu
Sawa unafanya katika shipping coy lakini suala hapa ni kwamba, procurement and logistics imejikita katika kumuandaa graduate kufanya kazi zaidi kwenye procurement sector kuliko kwenye logistics.Nimemaliza Proc and logistics mgt and am on company kwenye shipping /logistics department and i can do proc and supply too.... ila aliyesoma transport and logistics atabase kwenye hyohyo tu haezi ingia kwenye procurement
facts[emoji114] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji114]Sawa unafanya katika shipping coy lakini suala hapa ni kwamba, procurement and logistics imejikita katika kumuandaa graduate kufanya kazi zaidi kwenye procurement sector kuliko kwenye logistics.
Sio lazima ufanyie kazi ulichokisomea, ndo maana nasema kila graduate kati ya procurement & logistics na logistics and transport ana maeneo yake ya kujidai kufanya kazi professionally. wewe hapo huwezi kufanya kazi kwenye kitengo cha clearing & forwading, SUMATRA, bandarini, Airport hata pipeline and cable transportation.
[quote uid=146289 name="Landcruiser" post=24037463]Nimemaliza Proc and logistics mgt and am on company kwenye shipping /logistics department and i can do proc and supply too.... ila aliyesoma transport and logistics atabase kwenye hyohyo tu haezi ingia kwenye procurement[/QUOTE]<br />Sawa unafanya katika shipping coy lakini suala hapa ni kwamba, procurement and logistics imejikita katika kumuandaa graduate kufanya kazi zaidi kwenye procurement sector kuliko kwenye logistics.<br />Sio lazima ufanyie kazi ulichokisomea, ndo maana nasema kila graduate kati ya procurement & logistics na logistics and transport ana maeneo yake ya kujidai kufanya kazi professionally. wewe hapo huwezi kufanya kazi kwenye kitengo cha clearing & forwading, SUMATRA, bandarini, Airport hata pipeline and cable transportation No Adition ApooFafanua
I dadavuee mkuuKuna hii mpya kutoka DMI, inaitwa Shipping and Logistics Management. Level - Certificate to Bachelor Degree
Karibuni wadau wote wenye idea na moja kati ya kozi tajwa au zote ili tuweze kuzichambua kiundani katika maeneo yafuatayo.
1. Career opportunities
2. Learning expected outcomes (skills you should possess after graduating)
3. Job vacancies
4. Utofauti uliopo
YOU'RE WARMLY WELCOMED!
Hujakosea ndugu, komaa nayoNimechaguliwa hyo course ya logistics&transport pale NIT naipenda sana kwenda kusomea hii ki2 no matter what, najua malengo nitafikia tu kwa sababu hatua yamafanikio yangu sasa naanza kuyaona kwa mbaali japo safari ni ndefu nachangamoto ni nyingi ninazokwenda kupambana nazo ila tutafika tu.kuna baba angu mdogo amenikandia sana aliposikia nimechagua NIT nikamwambia mimi siendi kusomea jina la chuo mm naenda kukamilisha kile nachokiitaji hata kama chuo ni chini ya mti.
Yaah ndio hvy kaka lazima nikakomae nafasi kama hizi huwaga hazijirudiiHujakosea ndugu, komaa nayo
Ungemuuliza why kakukandia unajua jina la chuo lina nafasi kubwa katika CV yako usipojua hilo sasa utajua baadaye kila la heri.Tofauti ya kozi hizo ni ndogo sana jina lisikuchangange.Nimechaguliwa hyo course ya logistics&transport pale NIT naipenda sana kwenda kusomea hii ki2 no matter what, najua malengo nitafikia tu kwa sababu hatua yamafanikio yangu sasa naanza kuyaona kwa mbaali japo safari ni ndefu nachangamoto ni nyingi ninazokwenda kupambana nazo ila tutafika tu.kuna baba angu mdogo amenikandia sana aliposikia nimechagua NIT nikamwambia mimi siendi kusomea jina la chuo mm naenda kukamilisha kile nachokiitaji hata kama chuo ni chini ya mti.
Uko sahihi kabisa, mimi nasoma Logistics and Transport hapa NIT.Logistics and transport management v/s procurement and logistics management.
Ipo hivi:
Unapozungumzia LOGISTICS ujue ndani yake kuna, procurement, supply chain, transportation, distribution na production.
Anaesoma PROCUREMENT and LOGISTICS, hiyo logistics imesimama kama transport anaisoma katika kipengele cha transport tu.
Na anaesoma LOGISTICS and TRANSPORT, anaisoma pia procurement kama sourcing. Na pia anasoma supply chain, atasoma pia transport yote (modes zote).
Hivyo anasoma logistics and transport management yupo deep zaid ya anaesoma procurement and logistics coz hiyo logistics inayosomwa kwenye procurement ni sehem ndogo ya logistics(transport tu) haisoma logistics yote.
Tatizo DMI wametutenga wana artKuna hii mpya kutoka DMI, inaitwa Shipping and Logistics Management. Level - Certificate to Bachelor Degree