Hik inaenda kinyume na masculinity kabisa.huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ...
View attachment 3506183
Ricardo nolasco dos santos (rip)
View attachment 3506186
Atakayeelewa anifafanulie
Haya majitu huwa yote vibamia licha ya hiyo misuli yao ya booster na steroids. Kwanza hayapendezi halafu mengi yao hayavuki 40 yrshuyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ...
View attachment 3506183
Ricardo nolasco dos santos (rip)
View attachment 3506186