MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,752
- 5,497
Mmamaeee huyu ndo mwanaume sasa. Bongo na sisi mapapa ya madawa yangeuliwa hadharani basi mateja leo wangepungua sana
hii hapa ndo kachukua rais wetu nahisi
balaa sana, hizi species duniani zimepotea siku nyingi. Huyu moto wa kuotea mbali haangalii cha UN wala US.
Safi sana ajiunge na Urusi na China naamini atakuwa salama sana hawatamtisha
balaa sana, hizi species duniani zimepotea siku nyingi. Huyu moto wa kuotea mbali haangalii cha UN wala US.
huyu mkuu kapitiliza, dunia nzima ameshindikana hata jamaa wa N/korea hawamfikii. Hana wa kufananishwa nae ingawa yote anasema anafanya kwa faida ya watu wake.hii hapa ndo kachukua rais wetu nahisi
Sio hawatamtisha, bali watamwogopa tuu. Na huo mchakato alishauweka wazi tangu afanye ziara pale chinaSafi sana ajiunge na Urusi na China naamini atakuwa salama sana hawatamtisha
Tayari ameweka ties na China juzi tuSafi sana ajiunge na Urusi na China naamini atakuwa salama sana hawatamtisha
Huyu jamaa balaa sana, Tatizo dunia nayo huwa inatetea waarifu bila kuangalia unene na uzito wa tatizo.Jamaa anakuambia kuna 3million addicts
Alisikitika sana vijana 3million wameshapoteza nguvu kazi kubwa
Aliwapa onyo druglords,pushers wajisalimishe wakakataa ndio katoa order
Halafu druglords wanavikundi vyao vya kimafia sasa wakiretaliate ndio wanauliwa vzr
Ase 3million addicts siyo mchezo
Duterte salute kwako
alishategewa bomu kwe njia aliyotarajia kupita bahati nzuri wkti gari ya walinzi wake ndo ikalipuka wakati inapita kukagua barabarathey will kill him nakwambia Mossad watafanya yao we subiri uone tu
Unaongelea nn mkuu??spartlys ndo bye bye tena...china wameshahalishiwa kuichukua sasa wamaendelee kuhangaika na senkaku pamoja na south china sea tu sasa
ni sawa tatizo ni kubwa but ubaya wa extra judicial killings mara nying wasiohusika pia nao huuwawa...so ni vyema hili jambo kutazamwa kwa namna mbalimbaliHuyu jamaa balaa sana, Tatizo dunia nayo huwa inatetea waarifu bila kuangalia unene na uzito wa tatizo.
Anajua anachokifanya, kuna wakati inabidi uwe mkorofi ili mambo yaende, Mateja wote mwisho wa siku wanaishia kuwa mzigo kwa serikali
Spratly Islands za phillipinesUnaongelea nn mkuu??
Wamechukuaa wapi toka wapi,??
Sijaelewa