LODI LOFA

LODI LOFA

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
5,779
Reaction score
13,704
Wangapi wanakumbuka hii kitu.Achaneni na hizo ma CCM ama CHADEMA
a10c85d4fbb3bf796892a66c37d1e67a.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za Sani zilikua tamu sana.

Kitu kikubwa nilichokuja kugundua baada ya kuoptea kwa kazi hizo ambazo zilipendwa sana ni kuwa wabongo au watu weusi tuna ubinafsi sana na hatupendi kufundisha wengine wajue tunachokijua. Angalia wale watunzi na wachoraji wamefariki fariki hawana hata waliowarithisha mikoba.
 
Lakini tunaye Lodi Lofa aliye hai hivi sasa... Achana na huyo wa kuchora
 
Sema ukweli tu kuwa umesimuliwa
Kwani mimi ni sky? Asprin mimi haya nilikuwa nayaagiza na Bunda Bus service toka Mwanza miaka ya 79-82 halafu unasema nimesimuliwa? Asprin nipe shikamoo yangu kwanza ndo nisikusemee kwa Sky.
 
Shkamoo mzee mwenzangu. Nilikuwa nakutania tu bhana. Usiniharibie ndoa yangu tafadhali. Utaniharibia mambo ya kikokotoo cha zamani
 
Marhaba kua upate yako. Hahahahaha sky yupo anajidai sasa hivi. Ngoja nimsubiri akijidadi naweka piripiri.
 
Enzi za Sani zilikua tamu sana.

Kitu kikubwa nilichokuja kugundua baada ya kuoptea kwa kazi hizo ambazo zilipendwa sana ni kuwa wabongo au watu weusi tuna ubinafsi sana na hatupendi kufundisha wengine wajue tunachokijua. Angalia wale watunzi na wachoraji wamefariki fariki hawana hata waliowarithisha mikoba.
Kipaji si kama nguo unayoweza kumrithisha MTU.
 
Back
Top Bottom