kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,808
- 2,631
nakushushukuru sanaa mkuuu kwa taarifa nzuriiiMbeya kuna Lodge nyingi nzuri na bei nafuu hata Hoteli zao pia, malazi na chakula Mbeya ni nafuu kuliko mkoa wowote hapa Tanzania kwa Uzoefu wangu, kuna hizi za Mfekemo ni nzuri, zipo kama nne hivi na wana hotel na hostel, Mfekemo hostel, Guest house, Lodge na Hotel, zipo mjini kabisa maeneo ya Mwanjelwa, katika ya Mji na sio mbali kwenda Mjini.
Pia kuna Manyanya Hotel n Lodge, Mtenda Lodge nazo zipo pouwa zipo maeneo ya Forest Mpya nje kidogo ya mji ila pia sio mbali na town ni daladala moja.
Lodge zilizo mjini ni za zamani kidogo tafuta zilizo nje ya kidogo ya Mjini.
Bei ni kati ya 20k - 40 ila za uhakika, chai na maji ya moto.
mkuuu natokeaaa kandaa ya kazkazinii mkuuu maili chache kutoka mjii wa nairobi na nisijapendelea kuzunguka mkuuu nanyoosha kanda ya katiiAfu kama huendi na Private panda hizi ndege za ardhi ni Dar Lux hutojutia safari yako.
Ungemuwekea na bei ili afahamu maana umewahi patumiaNenda mghaka inn...ipo fresh sana hutojutia kabisa....ukifika mbeya chukua teksi au bajaji au bodaboda pale mwanjelwa mwambie dereva akupeleke chuo cha teku, ukifika teku utauona mnara wa vodacom, ukiulizia tu maeneo hayo mghaka inn utaona mabango ya maelekezo ilipo ama ukiulizia kwa watu utaonyeshwa, Nachokipenda pale ni usalama, umeme upo wa kutosha, privacy na kuwa free sana.
At a mwanjelwa IPO nimewahi itumia iko poa sanaMFIKEMO ITAKUFAA ZAIDI IPO SAE STAND (25000-30000)
ngoja niichukue hii MFIKEMO MKUUUUAt a mwanjelwa IPO nimewahi itumia iko poa sana
Nenda Desderia kwa sugu ndo mwisho wa kila kitu
Habarini za asubuhi wanajamvi
Naombeni msaada wakuu ninategemea kusafiri tar 23-27 kwenda Jijini Mbeya naombeni kujuzwa sehemu nzuri pakufikia kwa ajili ya makazii wanajamviii.especally Lodge iliyokaribu na mjii
OKngoja niichukue hii MFIKEMO MKUUUU
nitumie basii mkuuuOK
Ukihitaji hii ya mwanjelwa ntakutumia namba ya mhudumu pale
Mm binafs nimewahi fikia
Ahsanteee mkuuuuMwangole Lodge itakufaa zaidi mkuu
utapata huduma zote muhimu hasa kwa mazingira ya baridi kama mbeya kwa viwango vya hali ya juu na kwa bei elekezi
ipo uyole au mwanjelwa na zipo karibu kabisa na stand...huku mazingira yake yakiwa safi na salama.
bei ni kati ya 15k hadi 25k
karibu sana Mbeya
Karibu Mwangole Logdes