Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

mamyake

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
88
Reaction score
60
Habari Wakuu.

Naomba mnijuze lodge nzuri Arusha City. Budget isizidi 30,000.

Natanguliza shukrani.
 
Lodge nzuri halafu iwe ya 30,000. Siyo kwamba umechanganya kidogo labda ulimanisha guesthouse.
 
Habari Wakuu.

Naomba mnijuze lodge nzuri Arusha City. Budget isizidi 30,000.

Natanguliza shukrani.
Kama unapenda sehemu tulivu.
Nenda Sakina Raskazone uliza MOTEL 2000
mazingira tulivu sana, bei nzuri, lounge nzuri.
Ukiwa na mtoto mzuri atakushukuru
Nisamehe kumbe wewe ni ke

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kama mpaka Naura spring unapata rooms za 40k basi ni kweli sekta binafsi zimekufa tayari.

sababu hiyo haitoshi hata robo ya runing cost
Nafikiri umesikia wanauza baadhi ya mali zake wafanyakazi walipwe...ni hatari sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Habari Wakuu.

Naomba mnijuze lodge nzuri Arusha City. Budget isizidi 30,000.

Natanguliza shukrani.

Nenda hapo city link ni barabarani kabisa unapata chumba na breakfast kwa hiyo hela yako. Kwa kipindi hiki cha covid, hoteli yoyote unalala kwa 30k hata ukipenda kulala GRAN MELIA au Mount Meru wanakukaribisha kwa furaha!
 
Nakushauri uende Mwamba Inn! Wala hautojuta!
20200903_073623.jpg
 
Nenda hapo city link ni barabarani kabisa unapata chumba na breakfast kwa hiyo hela yako. Kwa kipindi iki cha covid hoteli yoyote unalala kwa 30k hata ukipenda kulala GRAN MELIA au Mount Meru wanakukaribisha kwa furaha!
Mkuu usidanganye, unaijua Gran melia?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom