Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 459
Hahaha.kuna lodge moja sikumbuki jina ipo ile njia ya lami katikati ya bunge na chuo cha cbe.ipo vzr kwa 20000tsh asubuhi unaandaliwa chai nzuri.pia service yao ni nzuri. Kama maji ya moto nk
au fifty six?
Ha ha ha mkuu nikijaga ndio guest yangu hiyo karbu na Omax pale
Mana notel,pazuri sana
Hapana mkuu hiyo naijua ni hotel nilikuwa nakunywaga hapo. Si ipo nyuma ya cbe na bunge?? Nayozungumzia ipo mbele ya cbe na bunge ile njia ya lami sijui ya singida mie sio mwenyeji sana hapo.
Hahaha karibu na club aziz enheee nakumbuka nilikuwa member pale hivi bado ipo??
Ni kweli, tena havipigi kelele!Yaaah ni hiyo mkuu palinivutia.hata vitanda vyake viko pouwa sana.
Ni kweli, tena havipigi kelele!
ahsanteni sana kwa msaada wenu