Kuna dealer pale opposite na NBC samora, sio JM Mall, wanauza products za Samsung tu, simu za Samsung nilikuwa nanunua pale. Pia M City si mbaya ila nilishawahi zungumza nao wa M City, wakasema discounts za M city ni tofauti na za kwingineko kwakuwa assumption ni kuwa wanaoenda m city purchasing power yao ni kubwa kuliko wa kkoo na kwingineko.