Location please

Pakti ya sigara, kibiriti na chewing gum aka joto 2.

Kichwa cha utingo hapo kushoto kinaonekana, atasimama hadi mwisho wa safari?

Uvutaji wa sigara safarini si mzuri, utamvuruga dereva.
 
Mkuu naona unavuta embassy,,, na juicy fruit,kiberiti cha kasuku
 
Pakti ya sigara, kibiriti na chewing gum aka joto 2.

Kichwa cha utingo hapo kushoto kinaonekana, atasimama hadi mwisho wa safari?

Uvutaji wa sigara safarini si mzuri, utamvuruga dereva.
Hilo bus au lorry maana kama ni lorry fegi rukhsa na wengine jah mpaka mwisho wa safari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…